Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA), Jamila Mahmoud Juma, akitioa elimu maalum kwa wanafunzi wa shule juu ya mas...
[Widget_Title][slider1][recent][9]
Mama asimulia jinsi alivyoachiwa watoto tisa na mumewe, baada ya kumpewa talaka
Bi Safia Nassor Mbarouq akiwa na mtoto wake Arafat Makame Yussuf pamoja na wajuu zake “Ndoto zangu za kuwa na familia yenye wasomi zil...
Ujenzi wa Nyumba za starehe karibu ya maeneo ya shule unahitaji kupigwa vita kwa nguvu zote
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Rizki Pemba Juma a kiwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Simai Mohammed Said, wakisalimiana na Wanafun...
Ofisi ya Mtakwim Mkuu wa Serikali Zanzibar kuanza kutoa takwim za matukio ya ajali kwa watoto
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwim Mkuu wa Serikali Zanzibar wanatarajia kuanza utaratibu wa kutangaza takwim za matuki...
Wizara ya elimu Zanzibar yajipanga kutoa elimu ya udhalilishaji na ukatili watoto, katika shule za Unguja na Pemba
Katika kuhakikisha vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia hasa kwa wanafunzi vinamaliza, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema imeji...
Wasiowapeleka Shule watoto wenye ulemavu kuchukuliwa hatua za kisheria: Wazi Pembe
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua za kisheria wazee wanasiowapeleka shule watoto wenye...
Vita vya kupinga ajira za watoto hasa vijijini bado vyahitaji nguvu ya pamoja
Zanzibar ni miongoni mwa nchi iliyojaaliwa neema ya bahari nzuri na yenye kuvutia ambayo wananchi wake pamoja na serikali kwa ujuml...
Wauza maziwa wasiofuata utaratibu wa sheria wakiona cha moto
Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imeanza ukaguzi wa wauza maziwa wasiofuata utaratibu unaokubaliwa ikiwemo sehemu zisizo r...
Balozi Idd afanyiwa sherehe maalum siku yake ya kuzaliwa, awasisitiza wafanyakazi kuhudumia jamii kwa utii
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd. Abdullah Mitawi akimlisha kipande cha Keki Balozi Seif kama ishara ya ku...