Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa Fumba 'Fumba Town Development'.

 

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,katikati akipata maelezo ya mradi wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi A Unguja. Fumba Town Development.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aksalimia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi A Unguja. Fumba Town Development.


Mkuu wa Mko wa Mjini Magharibi Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akisalimia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi A Unguja. Fumba Town Development.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimia na Msimamizi wa mradi wa Nyumba za Fumba Dezoit wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi A Unguja. Fumba Town Development.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua maeneo ya ujenzi wa nyumba Fumba wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi A Unguja. Fumba Town Development.


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia mafundi wa milango wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi A Unguja. Fumba Town Development.


Msimamizi wa mradi wa nyumba Fumba Dezoit akitoa maelezo ya mradi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi A Unguja. Fumba Town Development. 

Picha, Othman Maulid

 

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top