Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA), Jamila Mahmoud Juma, akitioa elimu maalum kwa wanafunzi wa shule juu ya mas...
Ujenzi wa Nyumba za starehe karibu ya maeneo ya shule unahitaji kupigwa vita kwa nguvu zote
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Rizki Pemba Juma a kiwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Simai Mohammed Said, wakisalimiana na Wanafun...
Ofisi ya Mtakwim Mkuu wa Serikali Zanzibar kuanza kutoa takwim za matukio ya ajali kwa watoto
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwim Mkuu wa Serikali Zanzibar wanatarajia kuanza utaratibu wa kutangaza takwim za matuki...
Wizara ya elimu Zanzibar yajipanga kutoa elimu ya udhalilishaji na ukatili watoto, katika shule za Unguja na Pemba
Katika kuhakikisha vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia hasa kwa wanafunzi vinamaliza, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema imeji...
Wasiowapeleka Shule watoto wenye ulemavu kuchukuliwa hatua za kisheria: Wazi Pembe
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua za kisheria wazee wanasiowapeleka shule watoto wenye...
Wauza maziwa wasiofuata utaratibu wa sheria wakiona cha moto
Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imeanza ukaguzi wa wauza maziwa wasiofuata utaratibu unaokubaliwa ikiwemo sehemu zisizo r...
Balozi Idd afanyiwa sherehe maalum siku yake ya kuzaliwa, awasisitiza wafanyakazi kuhudumia jamii kwa utii
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd. Abdullah Mitawi akimlisha kipande cha Keki Balozi Seif kama ishara ya ku...
KIRINGO CHINI YA ULINZI KWA KUMLAWITI MTOTO WA KIUME
Jeshi la Polisi limefanikiwa kumtia mbaroni, Hassan Abultalib maarufu ‘kiringo’ baada ya kutuhumiwa kumlawiti mtoto wa kiume miaka ...
ZANZIBAR YAKABIDHIWA CHETI CHA KIMATAIFA....
Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar ZFDA umekabidhiwa rasmi Cheti cha mfumo wa uhakiki ubora wa huduma cha kiwango cha kimataifa cha ISO...






