TFF YAMTEUA AMMY NINJE KUWA KOCHA WA MUDA
TFF YAMTEUA AMMY NINJE KUWA KOCHA WA MUDA

    Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania TFF leo limetangaza kumteua Ammy Ninje kuwa kocha wa muda wa timu ya Taifa ya Vijana chini...

Read more »

JKU WAWAPIGISHA KWATA POLISI MBELE YA UMATI WA WATU
JKU WAWAPIGISHA KWATA POLISI MBELE YA UMATI WA WATU

MAAFANDE wa Polisi wameendelea kugawa pointi baada ya jana kukubali kipigo cha mabao 3-0, kutoka kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Zanz...

Read more »

ZFA YAMPIGA STOP MWAMUZI WAKE
ZFA YAMPIGA STOP MWAMUZI WAKE

  Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) kimemsimamisha kazi Muamuzi Mfaume Ali Nassor kwa muda mpaka pale Shirikisho la Soka Barani...

Read more »

KILIMANI CITY YAIPA FUNZO TIMU YA KIPANGA
KILIMANI CITY YAIPA FUNZO TIMU YA KIPANGA

TIMU ya Kipanga ilikubali kuachia pointi tatu kwa Kilimani City baada ya kupokea kipigo cha mabao 2-1, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Zanzib...

Read more »

TIMU YA JKU YA ZANZIBAR AIBU TUPU
TIMU YA JKU YA ZANZIBAR AIBU TUPU

WAWAKILISHI wa Zanzibar kwenye mashindano ya klabu bingwa na kombe la shirikisho Afrika,timu za JKU na Zimamoto, juzi zimetolewa kati...

Read more »

UFINYU WA BAJETI YA MICHEZO ZANZIBAR YAWALIZA WAWAKILISHI
UFINYU WA BAJETI YA MICHEZO ZANZIBAR YAWALIZA WAWAKILISHI

KAMATI ya Maendeleo ya Wanawake, Habari na Utalii Baraza la Wawakilishi, imeelezea kusikitishwa kwake na ufinyu wa bajeti iliyotengw...

Read more »

Mbunge wa Malindi amlima barua Infantino wa FIFA
Mbunge wa Malindi amlima barua Infantino wa FIFA

  Mbunge wa jimbo la Malindi, mwandishi wa habari na mwanamichezo, Ally Saleh, amemuandikia barua ya wazi Rais wa Shirikisho la Soka Du...

Read more »

ASLAY, HAMA Q WAPO HATARINI KUSHTAKIWA ZANZIBAR
ASLAY, HAMA Q WAPO HATARINI KUSHTAKIWA ZANZIBAR

UONGOZI wa kikundi cha taarab asilia cha Culture umetoa hadi Febuari 15 kwa wasanii Hama Q na Dogo Aslay, wawe wamefika kufanya nao ma...

Read more »

WACHINA WAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO PEMBA
WACHINA WAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO PEMBA

  KATIKA kujenga na kudumisha udugu ulipo baina ya Serikali ya Watu wa China na Zanzibar, Madaktari bingwa wanaofanya kazi zao katika Ho...

Read more »

CAF YAWEKA WAZI WAAMUZI MICHEZO YA TIMU ZA ZANZIBAR
CAF YAWEKA WAZI WAAMUZI MICHEZO YA TIMU ZA ZANZIBAR

SHIRIKISHO la Soka Afrika CAF limetangaza majina ya waamuzi watakaochezesha mchezo  wa  kombe la Shirikisho baina ya timu ya Zimamoto y...

Read more »

HISTORIA YA KWELI YA NG'OME KONGWE ZANZIBAR HII HAPA, BONYEZA CHINI KUONA NA KUJUA ZAIDI
HISTORIA YA KWELI YA NG'OME KONGWE ZANZIBAR HII HAPA, BONYEZA CHINI KUONA NA KUJUA ZAIDI
Read more »

LIGI KUU ZANZIBAR KUENDELEO LEO ALHAMIS
LIGI KUU ZANZIBAR KUENDELEO LEO ALHAMIS

  BAADA ya kusimama kwa muda wa wiki mbili kupisha mashindano ya            Kombe la Mapinduzi,  ligi kuu soka Zanzibar kanda ya Unguj...

Read more »
 
Top