Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  aliyevaa Miwani akifanya ziara ya kulikagua Jumba la Biashara lilipo Darajani Maarufu Jumba la Treni kuangalia harakati za ujenzi wa Jengo hilo.


Mkurugenzi Mkuu wa Idaya ya Ardhi na Mipango Miji Zanzibar Dr. Muhammad Juma akimuonyesha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ramani ya itakavyokuwa Kituo Kikuu cha Gari za Abiria kinachotaka kujengwa katika Mtaa wa Kijangwani.



Balozi Seif akikagua Majengo mapya ya Nyumba za Makaazi zinazojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar {ZSSF} hapo Mbweni nje kidogop ya Mji wa Zanzibar.

Picha na – OMPR – ZNZ.

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top