RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Sand Heroes katika chakula cha mchana alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kwa kuchukua Ubingwa wa Mchezi wa Beach Soka michuano ilioandaliwa na TFF Jijini Da es Salaam baada ya kuingia faina na kuifunga Timu ya Malawi kwa mabao 3 -2, Picha na Othman Maulid.



 

 








Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top