MATUKIO MBALI MBALI YA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA MSTAAFU MOHAMED GHARIB BILAL KATIKA UZINDUZI WA BARABARA YA KWARARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA WILAYA YA MAGHARIB 'B'

Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal alipokata utepe kuashiria kufungua Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Baloz Ali Abeid Karume.


 Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal akikunjuwa kitambaa kuashiria kufungua Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


 Barabara ya Fuoni Meli Tano Kwarara yenye urefu wa kilomita mbili iliofunguliwa na Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar


 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa  Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Baloz Ali Abeid Karume akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa  Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya ufunguzi wa Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top