BALOZI SEIF ALI IDDI APOKEA MAANDAMANO YA UMOJA WA VIJANA WA CCM ZANZIBAR.


Balozi Seif akipokea Picha ya Muasisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1994 Marehemu Mzee Abeid Aman Karume kutoka kwa Mkuu wa Matembezi ya Umoja wa Vijana ambae pia ni Mjumbe wa NEC Nd. Asya Khamis.

Balozi Seif akizungumza  Vijana walioshiriki katika matembezi ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hapo katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.


Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Nd. Kheir James akitoa salamu katika kilele cha Matembezi ya UVCCM kilichomalizikia Afisi Kuu ya CCM Kisiwanduzi.

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia matukio mbali mbali yaliyojiri katika kilele cha Matembezi ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .

Picha na – OMPR – OMPR – ZNZ.

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top