RESI ZA NGALAWA ZANZIBAR ZIMEKALIKA RASM JANA BAADA YA VIJANA KUONESHA MAKALI KATIKA KUKIMBIZANA BAHARINI, KWA HABARI ZAID ANGALI PICHA MATUKIO.

Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika mashindano ya resi za Ngalawa yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar


Ngalawa inayojulikana kwa jina la Fimbo ambayo ilitokea mshindi wa kwanza inayoongozwa na Nahodha Suleiman Ali  ikiingia Mfundani katika  mashindano yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.



Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika mashindano ya resi za Ngalawa yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar


Wairi wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir akitoa hotuba na kuwapongeza washiriki wa  mashindano ya resi za Ngalawa yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Wairi wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir akimkabidhi mshindi wa kwanza wa Resi za ngalawa Nahodha Suleiman Ali zawadi ya Shilingi za kitanzania 300000 Laki tatu mashindano yaliofanyika Forodha Mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.



Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top