Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amefariki dunia leo alfajiri Ijumaa Februari 2,2018 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.

Mmoja wa wanafamilia ya Kingunge,Idd Janguo ameiambia amesema kuwa Mzee Kingunge amefariki dunia leo majira ya saa 10 alfajiri wakati akiendelea kupatiwa matibabu lakini hali yake ilizidi kubadilika kuwa mbaya tokeo juzi.

Habari zaidi zitawajua baadae .......

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top