Picha tofauti Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma  katika uwekaji wa Jiwe la msingi Nyumba ya Wananchi itakayotumika kwa kusubiri kuwaona Wagonjwa katika Hospitali ya Makunduchi alipokwenda kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma  katika uwekaji wa Jiwe la msingi Nyumba ya Wananchi itakayotumika kwa kusubiri kuwaona Wagonjwa katika Hospitali ya Makunduchi alipokwenda kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.



 -Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma wapili kulia akipata maelezo kutoka kwa Diwani wa Wadi ya Makunduchi Zwadi Hamdu Vuai kuhusiana na ujenzi wa Nyumba ya wananchi itakayotumika kuwaona Wagonjwa katika Hospitali ya Makunduchi Wilaya ya kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma akfungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono lililofunguliwa na Waziri wa  Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma Makunduchi Wilaya ya  Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Mkurugenzi wa Huduma za Hospitali Zanzibar Dk,Mohammed Dahoma  akizungumza na wananchi mbalimbali baada ya kufunguliwa Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono na Waziri wa  Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma Makunduchi Wilaya ya  Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma akitoa hotuba baada ya kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono na kuweka jiwe la msingi Nyumba ya wananchi ya kusubiri kuwaona wagonjwa Makunduchi Wilaya ya  Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top