Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu amemuapisha Naibu Waziri wa Madini, Mh. Doto Mashaka Biteko ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu kimuapisha Naibu Waziri wa Madini, Mh. Doto Mashaka Biteko ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu kimuapisha Naibu Waziri wa Madini, Mh. Doto Mashaka Biteko ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu akisalimia na Naibu Waziri wa Madini, Mh. Doto Mashaka Biteko baada ya kuapishwa ikulu jijini Dar es Salaam.

Picha ya pamoja kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine mbali mbali leo Jumatatu baada ya kuapishwa Naibu Waziri wa Madini, Mh. Doto Mashaka Biteko ikulu jijini Dar es Salaam.

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

Top