Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Jimbo la Jangsu Nchini Jamuhuri ya Watu wa China Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Jimbo la Jangsu Nchini Jamuhuri ya Watu wa China Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa Taarifa ya ujio wa Ujumbe wa Wawekezaji wa Jimbo la Jiangsu Nchini China mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif.

Balozi Seif  kati kati aliyevaa Miwani akiwa katika Picha ya pamoja a Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Nchini China pamoja na ule wa Mkoa Mjini Magharibi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.

Balozi Seif kulia akiagana na Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Nchini Jamuhuri ya Watu wa China Bwana Ge Zhi Yong Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.

Picha na – OMPR – ZNZ.

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

Top