RAISI wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein leo Alhamis anatarajiwa kufungua jengo la ofisi ya Mtakwim Mkuu wa Serikali ya Zanzibar liliopo Mazizini nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Ufungizi huo unafanyika asubuhi ya leo ambapo tayari viongozi mbali mbali wameshawasili katika viwanja vya jengo hilo kwa ajili ya kushughudia ufungizi huo ambao unatarajiwa kuwa ni mwanzo mzuri kwa ofisi hiyo kufanya kazi zao vizuri.

kwa taarifa zaidi usiache kunfalia zenjymedia kila mara .....

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top