RAIS MSATAAFU WA ZANZIBAR AMAN ABEID KARUME AKIWA KATIKA MOJA YA UZINDUZI WA MIRADI YA MAENDELEO ZANZIBAR IKIWA NI HATUA ZA SHAMRA SHAMRA ZA KUTIMIZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa  Ukuta wa Baharini Mizingani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia  Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed na kushoto ni Mwakilishi wa Benki ya Dunia Andre Bald.

Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akiangalia Ramani na kupata maelezo kutoka kwa  Mratibu wa Mradi wa Huduma za Jamii Mijini(ZUSP)Makame Ali Makame kuhusiana na Ujenzi wa Ukuta wa Baharini katika uzinduzi wa ukuta huo Mizingani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia  Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume  akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa  Ukuta wa Baharini Mizingani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia  Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume  katikati akitembea kwa miguu baada ya uzinduzi wa  Ukuta wa Baharini Mizingani kuelekea katika Bustani ya Forodhani  Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia  Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa  Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani  Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia  Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mwakilishi wa Benki ya Dunia Andre Bald akitoa maelezo kuhusiana na ujenzi wa  Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani  Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia  Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed akitoa hotuba khusiana na Ujenzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani pamoja na miradi mbalimbali ya serikali katika katika uzinduzi wa  Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani  Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia  Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani  Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia  Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed na kulia ni Mwakilishi wa Benki ya Dunia Andre Bald.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top