Kijana wa miaka 24 mkaazi wa Semewani aliyetambulika kwa jina la Omar Hamad ametuhumiwa kumbaka mtoto wa miaka 17 (jina limehifadhiwa) ambae ni mgonjwa wa akili.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Kamanda wa Polisi mkoa wa kusini Pemba PRC Shehan Mohd Shehan amseama , tukio hilo limetokea huko Semewani wilaya ya chakechake kusini Pemba ambapo mtuhumiwa anadaiwa kumbaka mtoto huyo katika mazingira ya kumvizia.

Chanzo, Zanzibar 24

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top