Uhaba wa Bajeti ya kutosha kwa wanahabari imeelezwa kuwa ni sababu moja wapo us wanahabari kutofichukua matukio makubwa ya Wala rushwa.

akisiwasilisha mada Mwalimu kutoka Chuo Cha Habari Zanzibar,Rashid Omar Juma huko ukumbi wa Idrissa Abdulwakili kikwajuni Mjini Unguja.

alisema pamoja na Mipango miziru ya waandishi lakini tatizo la.fedha za ufatiliaji wa.matukio hayo bado ni kikwazo Cha kufichua wala rushwa.

Hivyo alisema ili waandishi waweze kufikia malengo ya Zaeca kwa kuwafichua Wala rushwa hakuna budi ya kuungwa mkono ili yale maeneo.ambayo magumu kwa upande wait kufika waweze kufika bila ya kikwazo chochote ikiwamo fedha.

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top