Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma

A kiwa njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka wananchi hao kuzingatia lishe bora kwa watoto kwani mkoa wa Kigoma umekuwa ukilima chakula kingi lakini watoto wengi wanakosa lishe bora na kuzitaka mamlaka husika kutoa elimu kwa wananchi ya umuhimu wa lishe bora.

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top