Breaking news.

Kivuko cha mv Nyerere kinazama muda huu kilikuwa kimesheni watu.

Kivuko hiki hufanya safari zake kati ya Bugorora_Bwisha  Ukara  Wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza  ziwa Victoria.

Habari zaidi zitawajia baadae

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top