MRTIBU wa mradi wa paza sauti kutoka Jumuia ya uhifadhi wa mazingira NGERANECO Pemba, Hassan Bakar Suleiman, akizungumza na wananchi wa shehia ya Kiungoni wilaya ya Wete, juu ya namna ya kuwawezesha wananchi kupaza sauti zao, juu ya changamoto zinazowakabili, mradi huo unaendeshwa pia na TAMWA na WAHAMAZA, chini ya ufadhili wa EU, (Picha na Haji Nassor).

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top