Bi Zuwena Salum Said  ambaye alikuwa mkaazi wa jengo hilo ambaye alikuwa mtu wa mwisho kuhama katika jengo hilo ameawasili katika viwanja hivyo kwa ajili ya kushunudia uzinduzi wa Jumba Hilo

Bi Zuwena ambaye awali aligoma kuhama katika jengo hilo akidai kuwa hawezi kuhama kwa sababu Nyumba hiyo amepewa na Mzee karume ila kutokana na naasaha zilizofanywa na serikali ya Zanzibar alihama bila ya tabu na  kupelekwa Nyumba za Wazee Sebleni

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top