SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR, HUU NI UZINDUZI WA KITUO CHA AFYA UKONGORONI WILAYA KATI UNGUJA-ZANZIBAR
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala
bora Haroun Ali Suleiman akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Kituo
cha Afya Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni
shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar`
|
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala
bora Haroun Ali Suleiman wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa
Afisa uendeshaji Timu ya Afya Halmashauri Wilaya ya Kati Salma Bakari
Mohammed wakati akitembelea kituo cha Afya baada ya kukifungua
Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra
za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
|
|
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid Salum akitoa maelezo
kuhusiana na Kituo cha Afya cha Ukongoroni pamoja na kuahidi kutatua
baadhi ya changamoto zilizopo baada ya kufunguliwa kituo hicho
Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra
za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
|
|
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Hassan Khatib Hassan akizungumza machache
kuhusiana na Kituo cha Afya cha Ukongoroni pamoja na kuahidi kutatua
baadhi ya changamoto zilizopo katika Mkoa huo katika ufunguzi wa Kituo
cha Afya cha Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni
shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
|
|
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya makaribisho kwa
mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Ukongoroni Wilaya ya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya
miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
|
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na
Utawala bora Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kituo
kipya cha Afya Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni
shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.kushoto yake ni Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na kulia ni
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Hassan Khatib Hassan
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
|
Facebook Blogger Plugin by
Piere
Post a Comment