Rais wa Tanzania , John Maguful ni miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali ya Tanzania waliohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi zanzibar.


kwa mujibu wa maadhimisho hayo Maguful kwa siku ya leo ni mgeni muwalikwa tu hivyo hatokuwa na nafasi ya kutoa hutuba .


hata hivyo shughuli za sherehe hiyo bado zinaendelea kwa vikosi vya Gwaride kuburudusha watamazaji mbali mbali waliofika katika viwanja vya Amaan Mjini Unguja.


bado tupo kiwanjani kukuleteeeni kila kinachojiri hapa



Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top