ZIARA YA RAIS DK SHEIN UMOJA WA FALME ZA KIARABU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake , Mrithi wa kiti cha Ufalme Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan.( Kulia) ni Mtoto Aaliyah Al Mansoor

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top