Mashindano ya kombe la Mapinduzi Cup yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi keshi Ijumaa visiwani Zanzibar.

kwa mujibu wa msaidizi katibu wa kamati ya mashindano hayo Khamis Shaal akizungumza na wanadishi wa habari alisema kuwa siku ya keshi kutapigwa michezo mitatu.


Alisema kuwa timu ya Mlandege na JKU watacheza wakati wa saa 8:00 mchana, saa 10 jioni Jamhuri watatia nguvuni na Mwenge ambapo wakati wa saa 2:15 usiku Zimamoto watachuana na Taifa ya Jang’ombe .

KIKOSI CHA BLACK SAILOR,.jpg

Facebook Blogger Plugin by Piere
Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment

 
Top