kikosi cha timu ya Mlandege  

Mashindano ya kombe la Mapinduzi Cup yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo Ijumaa visiwani Zanzibar.
kwa mujibu wa msaidizi katibu wa kamati ya mashindano hayo Khamis Shaal akizungumza na wanadishi wa habari alisema kuwa siku ya keshi kutapigwa michezo mitatu.

Alisema kuwa timu ya Mlandege na JKU watacheza wakati wa saa 8:00 mchana, saa 10 jioni Jamhuri watatia nguvuni na Mwenge ambapo wakati wa saa 2:15 usiku Zimamoto watachuana na Taifa ya Jang’ombe .


Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top