Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed
wapili kulia akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mdogo alioko
Zanzibar Xie Xiao Wu baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za
Kitanzania Shilingi Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali
ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na
Mipango Vuga mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
|
Post a Comment