ANGALIA MATUKIO MBALI MBALI JINSI YA RASI MSTAAFU WA TANZANIA ALI HASSAN MWINYI AKIKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KATIKA UZINDUZI WA MPANGO WA SPORT 55 ULIOFANYIKA UKUMBI WA BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZAMANI KIKWAJUNU ZANZIBAR
|
-Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Ali Hassan Mwinyi
akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa
Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la
Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja.kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri na kulia alie kaa ni
-Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Michezo Mashuleni Mhe,Balozi
Mohammed Ramia. |
|
-Baadhi ya Walimu pamoja na Wanfunzi wao waliohudhuria katika Uzinduzi
wa Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika
Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja. |
|
-Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Ali Hassan Mwinyi
akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Michezo Mashuleni
Mhe,Balozi Mohammed Ramia mara baada ya kuwasili baraza la Wawakilishi
la Zamani kwaajili ya Kuzindua Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni
Sport 55.Katikati kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mgharibi Ayoub
Mohammed Mahmoud na mwengine ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Mmanga Mjengo Mjawiri. |
|
-Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi,Khadija Bakari
akizungumza machache katika Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa Michezo
Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani
Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja.
|
|
Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Michezo Mashuleni Mhe,Balozi
Mohammed Ramia akitoa hotuba ya makaribisho katika Uzinduzi wa Mpango wa
Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la
Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja. |
|
-Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri
akitoa maelezo kuhusiana na Michezo mashuleni kisha kumkaribisha mgeni
Rasmi katika Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55
hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya
Mjini unguja.
|
|
-Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Ali Hassan
Mwinyi kilia akimkabidhi Afisa wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mkoa wa
Kusini Unguja Abdalla Makame Makame Vifaa vya Michezo katika Uzinduzi wa
Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza
la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
| | | |
Facebook Blogger Plugin by
Piere
Post a Comment