Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuanio ya Mapinduzi Cup 2018. Nahodha wa Timu ya Azam Himid Mao Mkami baada ya Timu yake kushinda katika mchezo wa Fainal ya michuano hiyo iliofika kilele jana usiku kwa kuifunga Timu ya URA kutoka Uganda kwa Penenti 4 -3. Na kukabidhiwa Kombe hilo kwa Mara ya Pili baada ya kulitetea vyema kwa mwaka huo.

 Nahodha wa Timu ya Azam Himid Mao Mkami pamoja na wachezaji na viongozi wa  Timu yake wakishangilia baada ya kukabidhiwa kikombe cha ubingwa baada ya kuifunga Timu ya URA kutoka Uganda kwa Penenti 4 -3.,picha zote na Othman Maulid


Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top