Kikao cha kamati za Bunge leo Jumanne.

Kamati za Bunge zimeanza kupitia miswada mbalimbali itakayojadiliwa katika Bunge lijalo.

 Moja wa miswada hio ni ule utakaoongeza umri wa kustaafu kwa lazima kutoka miaka 60 hadi 65 kwa maprofesa, wahadhiri waandamizi na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa umma.

Facebook Blogger Plugin by Piere

Post a Comment

 
Top